Wiki hii, vyombo vya habari viliandika kuhusu Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania, Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz akiilalamikia serikali ya Tanzania kumchukulia kama ...
Bw Mwangi si mgeni katika harakati za maandamano ya kudai utekelezwaji wa katiba na haki za binadamu. Umaarufu wake ulichipuka kwa kasi kwa mara ya kwanza alipofichua picha za nadra alizozipiga ...