Utajiri wa Elon Musk, ambaye ni tajiri namba moja duniani, umeendelea kushuka na safari hii zaidi dola bilioni 22.2 (Sh57 ...
Jeshi la Polisi mkoani Lindi kwa kushirikiana na askari wa hifadhi ya wanyamapori wamemkamata mkazi wa Kijiji cha Chimbuko, ...
Msingi wa azimio hilo ni mkutano wa wakuu wa nchi kuhusu nishati uliofanyika Januari 27-28, 2025 jijini Dar es Salaam na ...
Wananchi 10,270 wamepatiwa boti za kuendeshea kilimo cha mwani kati ya hao 5,389 vijana, 3,159 wanawake na 1,722 wanaume, ...
Zaidi ya wanafunzi 30 wa Shule ya Sekondari Tumaini Jema, Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro, wamenusurika kifo, baada ya ...
Mbeya. Idadi ya vifo vilivyotokana na ajali ya barabarani ikihusisha basi kampuni ya CRN na gari la Serikali vimefikia vinne.
Salma, ambaye pia ni Katibu wa Baraza la Wanawake Chadema Mkoa wa Mwanza (Bawacha), amesema wakati tukio hilo linatokea ...
Oktoba mwaka huu, Tanzania itafanya uchaguzi mkuu, tukio ambalo ni muhimu kwa kuwa linalotoa fursa kwa wananchi kuchagua ...
Serikali mkoani Mara imeunda kamati ya kutafuta suluhisho la kudumu la mgogoro wa ardhi kati ya wakazi wa kijiji cha ...
Hukumu inatarajiwa kusomwa saa 8:00 mchana na Jaji Hamidu Mwanga aliyesikiliza shauri hilo. Siku ya hukumu aliipanga Desemba ...
Kocha wa Simba Fadlu Davids amesema mechi mbili zijazo zinaweza kutoa picha halisi ya ubingwa kwa timu yake msimu huu.
Kocha huyo amesema viungo hao wamekuwa wakitengeneza ugumu mkubwa kwa wapinzani, kutokana na ubora wao na licha ya kujua ...
当前正在显示可能无法访问的结果。
隐藏无法访问的结果