Wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wameonesha kupinga tangazo la kuundwa kwa serikali mbadala ya Sudan na waasi ...
Kundi hilo, ambalo sasa linajiita Sudan Founding Alliance, linadai linataka taifa hilo jipya liwe la kisekula, kidemokrasia, ...
Habari za wiki hii ni pamoja na hali kule nchini Mashariki mwa DRC, utata wa kidplomasia uanozingira Kenya na Sudan, ...
Takriban watu 46 wamepoteza maisha baada ya ndege ya jeshi la Sudan kuanguaka katika eneo la makaazi nje kidogo ya mji wa Khartoum. Wizara ya afya Sudan imesema watoto ni miongoni mwa waliojeruhiwa ka ...
Mji wa El-Obeid katika jimbo la Kordofan Kaskazini, ni kituo cha kimkakati kinachounganisha mji mkuu wa Khartoum na Darfur.
Hatimaye Al Hilal ya Sudan wamepangwa na kingingi Al Ahly kwenye hatua ya robo fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika ...
Chama cha Matibabu cha Australia (A-M-A) kimesema ni vigumu kujua kama jeki ya uwekezaji wa $8.5 bilioni ya serikali ya Labor ...