M23 ilichukua udhibiti wa mji wa Bukavu zaidi ya wiki moja iliyopita, baada ya kuiteka Goma, mji mkuu wa Kivu Kaskazini, ...
Abarwanyi ba M23 baragenzura umujyi wa Bukavu kuva mu ijoro ryo ku wa gatanu, nyuma y'uko abategetsi n'ingabo bahunze.
Watu kadhaa wanahofiwa kujeruhiwa baada ya milipuko miwili kutokea wakati wa mkutano wa viongozi wa kundi la waasi la M23 ...
The death toll from two explosions in Bukavu in eastern Democratic Republic of the Congo has risen to 16, government ...
Zikiwa zimepita siku tisa tangu watangaze kuutwaa Mji wa Nyabibwe Jimbo la Kivu Kusini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya ...
wamefanikiwa kufanya juhudi za pamoja kuwarudisha nyuma waasi wa M23, waliokuwa wakisonga mbele mashariki mwa Congo na kuelekea mji mkuu wa Kivu Kusini, Bukavu. Mapema wiki hii, waasi hao, wanaodaiwa ...
Baada ya kuanguka kwa Goma, mji mkuu wa Kivu Kusini, mwishoni mwa Januari mwaka huu 2025, kundi la waasi la M23 linaloungwa mkono na Rwanda sasa linapiga hatua dhidi ya jeshi la Congo kuelekea Bukavu, ...
Hali ya haki za binadamu Mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, inaendelea kuzorota kwa kasi ... Bi.Shamdasani anasema ofisi yao imethibitisha visa matukio ya M23 kuua watoto kiholela ...
“Tunahofia sana na hali ya sasa katika Kivu Kusini, hali bado ni tete, na kuna ripoti za kuaminika kwamba M23 inasonga mbele kuelekea mji wa Bukavu,” alisema Stephane. Hapo awali, waasi wa M23 ...
WAASI wa M23 jana Januari 29 wameendelea na mashambulizi baada ya kuuteka Mji wa Goma huku wakielekea Bukavu Mji mkuu wa jimbo la Kivu Kusini, katika Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Vikosi ...
Siku ya Jumapili asubuhi, Februari 16, msemaji wa jeshi la Kongo alithibitisha kuwepo kwa wanajeshi wa M23 na Rwanda huko Bukavu, mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kusini. Wapiganaji wa kundi hili wapo ...