Watu hao ni mke wa zamani wa Kony, mabinti wawili, na mvulana mmoja, ambao walikuwa wameishi kwa miaka mingi katika Jamhuri ...
Wakati wapiganaji wa M23 wakiendelea kujitanua Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Serikali ya Uingereza ...
Ubwongereza ni kimwe mu bihugu biha leta y'u Rwanda inkunga nini y'iterambere, buvuga ko bumaze guha u Rwanda arenga miliyari ...
Uingereza imetangaza kusitisha msaada wake kwa Rwanda. Uamuzi huo umechukuliwa kutokana na mashambulizi yanayofanywa na waasi wa M23 ambao wataalamu wa Umoja wa Mataifa wanasema wanaungwa mkono na Rwa ...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza David Lammy ametangaza siku Jumanne, Februari 25, kwamba Uingereza itasitisha misaada ...
Takriban vifo 3,000 vimeshaorodheshwa huko Goma, alisema Judith Suminwa na karibu watu 450,000 wamebaki bila makazi baada ya ...
Umoja wa Ulaya leo Ijumaa tarehe 21 Februari umemwita balozi wa Rwanda katika Umoja wa Ulaya, na kulaani mashambulizi ...