Katika mchezo mwingine wa ligi leo Coastal Union itakuwa mgeni wa JKT Tanzania kwenye uwanja wa Major General Isamuhyo , Dar es Salaam. JKT Tanzania ipo nafasi ya 13 ikiwa na pointi 3 baada ya michezo ...
Akizungumza katika hafla hiyo leo Jumatatu Septemba 30, 2024, Rais Mwinyi ambaye alikuwa mgeni rasmi, amesema hatua hiyo ni muhimu inayotoa fursa zaidi kwa wafanyabiasha na wananchi wa Unguja na Pemba ...
Simbachawene amesema hayo leo Jumatatu Septemba 30, 2024 wakati akitoa salamu katika hafla ya uzinduzi wa Kitabu cha Edward Moringe Sokoine (Maisha na Uongozi Wake) hafla iliyohudhuliwa na viongozi ...