MAMLAKA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), imetangaza mafanikio makubwa iliyoyapata katika kipindi cha miaka 30 ...
HALMASHAURI ya Ushetu mkoani Shinyanga, imebuni mbinu mpya ya kuongeza ufaulu kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari, ...
WAKAZI 189,936 wa halmashauri ya Ushetu, mkoani Shinyanga, wanatarajia kunufaika na mradi wa maji wa Ziwa Victoria na ...
KAMPUNI ya MazaoHub imeshinda tuzo ya kampuni bora inayojihusisha na teknolojia kwenye kilimo, katika mashindano ya Africa ...
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, amempongeza Askofu wa Jimbo Katoliki Rulenge-Ngara, Mhashamu ...
OFISI ya Vyombo vya Habari huko Vatican, imeripoti kwamba Baba Mtakatifu Francisko, alipumzika salama usiku. Taarifa hiyo ...
WABUNGE saba wa Bunge la Ulaya (MEPs), kutoka Kamati ya Maendeleo watafanya ziara nchini Tanzania kuanzia Februari 24 hadi 26, mwaka huu. Lengo ni kutathmini athari za uwekezaji wa Umoja wa Ulaya (EU) ...
RAIS Samia Suluhu Hassan, amesisitiza amani upendo na mshikamano akiwataka Watanzania kumtanguliza Mungu kwa kila jambo. Ametoa msisitizo huo, alipopita kusalimia katika mashindano ya Quraan yanayofan ...
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Dorothy Semu amesema yupo tayari kuongoza mapambano ya kupigania demokrasia nchini kwa gharama yoyote kwa kushirikiana na vyama vingine. Akizungumza katika kikao c ...
More than 1,500 young people from Dar es Salaam, Morogoro, and Arusha have benefited from training on running businesses ...
Rais wa Marekani Donald Trump amesema hakuna haja ya kiongozi wa Ukraine Volodymyr Zelensky kushiriki katika mazungumzo ya ...
Wananchi wa kata ya Ukalawa Jimbo la Lupembe Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, wamekabidhiwa kituo cha afya kilichojengwa na ...