Utajiri wa Elon Musk, ambaye ni tajiri namba moja duniani, umeendelea kushuka na safari hii zaidi dola bilioni 22.2 (Sh57 ...
Oktoba mwaka huu, Tanzania itafanya uchaguzi mkuu, tukio ambalo ni muhimu kwa kuwa linalotoa fursa kwa wananchi kuchagua ...
Msingi wa azimio hilo ni mkutano wa wakuu wa nchi kuhusu nishati uliofanyika Januari 27-28, 2025 jijini Dar es Salaam na ...
Jeshi la Polisi mkoani Lindi kwa kushirikiana na askari wa hifadhi ya wanyamapori wamemkamata mkazi wa Kijiji cha Chimbuko, ...
Mbeya. Idadi ya vifo vilivyotokana na ajali ya barabarani ikihusisha basi kampuni ya CRN na gari la Serikali vimefikia vinne.
Wananchi 10,270 wamepatiwa boti za kuendeshea kilimo cha mwani kati ya hao 5,389 vijana, 3,159 wanawake na 1,722 wanaume, ...
Zaidi ya wanafunzi 30 wa Shule ya Sekondari Tumaini Jema, Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro, wamenusurika kifo, baada ya ...
Salma, ambaye pia ni Katibu wa Baraza la Wanawake Chadema Mkoa wa Mwanza (Bawacha), amesema wakati tukio hilo linatokea ...
Unaweza kusema ni bahati ya kipekee iliyoishukia Tanzania kwa mara nyingine tena. Achana na mashindano ya AFCON 2027 ambayo pia yatafanyika Tanzania. Kwa sasa ni tukio la burudani la Tuzo ...
Serikali mkoani Mara imeunda kamati ya kutafuta suluhisho la kudumu la mgogoro wa ardhi kati ya wakazi wa kijiji cha ...
Hukumu inatarajiwa kusomwa saa 8:00 mchana na Jaji Hamidu Mwanga aliyesikiliza shauri hilo. Siku ya hukumu aliipanga Desemba ...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Mkoa wa Kagera, Seth Niyikiza amefariki dunia akiwa kajifungia ndani mwake.