Ingawa hatua hiyo inakabiliwa na maswali kadhaa hasa kuhusu ulinzi na usalama na uzoefu wa wafanyabiashara wenyewe, lolote ...
Wakati Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ikipanga kununua tani sita za dhahabu kila mwaka, tayari imenunua zaidi ya tani mbili tangu ianze mpango huo mwaka 2024.
Baada ya kazi hiyo, amesema utekelezwaji wa miradi mipya ya madaraja makubwa unaendelea, likiwemo la Mto Pangani lenye urefu ...
"Hili ni ongezeko la eneo la ukubwa wa ekari 1,425 kwa kilimo cha umwagiliaji maji ambacho kinamwezesha mkulima kulima mara ...
Utajiri wa Elon Musk, ambaye ni tajiri namba moja duniani, umeendelea kushuka na safari hii zaidi dola bilioni 22.2 (Sh57 ...
Lakini katika salamu zile Harmonize alijaribu kuvua mkufu wake wa shingoni na kutaka kumvalisha Alikiba lakini hakufanikiwa.
Tangu alipolazwa katika Hospitali ya Agostino Gemelli mjini Roma Ijumaa, Februari 14, 2025, akisumbuliwa na ugonjwa wa ...
Katika kesi hiyo ya jinai namba 44/2023, Hamis, mkazi wa Gezaulole, wilayani Kigamboni, alikuwa anakabiliwa na shtaka la ...
Mamia ya waombolezaji waliojitokeza katika Usharika wa Nkwarungo Machame, kushiriki ibada ya maziko ya Sifael Shuma (92) ...
Hai. Mamia ya waombolezaji wamejitokeza katika Usharika wa Nkwarungo Machame, kushiriki ibada ya maziko ya Sifael Shuma (92) ...
Takwimu za Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kuhusu ajira na mapato katika sekta rasmi kwa mwaka 2022/23 zimeonyesha hali ...
Tunalipongeza Bunge la Tanzania kwa kutuondolea adui wa wagombea kupita bila kupingwa baada ya kutunga sheria ya uchaguzi ...