Imeelezwa bidhaa hizo zinapaswa kuuziana kwa nchi wanachama kuliko kuagiza kutoka nje, hivyo teknolojia inapaswa kutumika ili ...
Walishikiliwa katika Kituo Kikuu cha Polisi Mwanza kisha wakaachiwa baada ya takribani saa moja na kukamilisha kikao chao na ...
Dk Mwinyi amesema miongoni mwa faida inayopatikana katika uwekezaji ni ongezeko la idadi ya watalii kutoka maeneo mbalimbali ...
Makadirio hayo ni ongezeko la Sh1.621 trilioni sawa na asilimia 31 ikilinganishwa na bajeti ya mwaka 2024/2025 ya Sh5.182 ...
Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Death Row Records, Suge Knight, amemshtumu Snoop Dogg kwa kujaribu kumdhamini Duane “Keefe D ...
Tangu Februari 18, 2025, Mchome alipowasilisha barua hiyo yeye mwenyewe makao makuu ya Chadema, Mikocheni jijini Dar es ...
Ingawa hatua hiyo inakabiliwa na maswali kadhaa hasa kuhusu ulinzi na usalama na uzoefu wa wafanyabiashara wenyewe, lolote ...
Wakati Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ikipanga kununua tani sita za dhahabu kila mwaka, tayari imenunua zaidi ya tani mbili tangu ianze mpango huo mwaka 2024.
Baada ya kazi hiyo, amesema utekelezwaji wa miradi mipya ya madaraja makubwa unaendelea, likiwemo la Mto Pangani lenye urefu ...
"Hili ni ongezeko la eneo la ukubwa wa ekari 1,425 kwa kilimo cha umwagiliaji maji ambacho kinamwezesha mkulima kulima mara ...
Utajiri wa Elon Musk, ambaye ni tajiri namba moja duniani, umeendelea kushuka na safari hii zaidi dola bilioni 22.2 (Sh57 ...
Lakini katika salamu zile Harmonize alijaribu kuvua mkufu wake wa shingoni na kutaka kumvalisha Alikiba lakini hakufanikiwa.