网页2023年12月19日 · Oktoba mwaka huu, Serikali ya Kenya ilipanga kuandaa michuano hiyo peke yao ingawa Karia ambaye pia ni rais wa Baraza la Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) alipendekeza nchi hizo kushirikiana katika fainali hizo. "Mwaka ujao Septemba tumepewa haki kwa nchi za Tanzania, Kenya na Uganda kuandaa michuano ya CHAN kwa kila taifa, pamoja na ...